Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Jimbo la Kwahani kwa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vitendo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Jimbo la Kwahani kwa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vitendo. Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright na kujadili masuala mbali mbali ya kiuchumi na kimaendeleo… Read More