Habari

Dk.Hussein Mwinyi amezitaka Mahakama Kuu ya Tanzania na Zanzibar kutengeneza mfumo endelevu wakuboresha mageuzi ya kiutendaji yaliyofanyika kwa lengo la kudumisha juhudi za Mahakama hizo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi azitaka mahakama kuu ya Tanzania na Zanzibar kutengeneza mfumo endelevu wakuboresha mageuzi ya kiutendaji yaliyofanyika…

Soma Zaidi