Habari

Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaagiza watendaji wa taasisi za Umma kutekeleza kwa wakati maagizo yote yanayotolewa na Serikali ili kujenga ufanisi wa majukumu yao

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaagiza watendaji wa taasisi za Umma kutekeleza kwa wakati maagizo yote yanayotolewa na Serikali ili kujenga…

Soma Zaidi

Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kujikita na tafiti zitakazotoa ufumbuzi wa matatizo yaliyomo kwenye jamii.Aidha, alivitaka vyuo vikuu kuongeza fani kwa mujibu wa mahita

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kujikita na tafiti zitakazotoa ufumbuzi wa matatizo yaliyomo kwenye jamii.Aidha,…

Soma Zaidi

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uchumi wa Zanzibar umeimarika kwa nchi kuendelea kuwa ya amani, umoja na utulivu wa watu wake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uchumi wa Zanzibar umeimarika kwa nchi kuendelea kuwa ya amani, umoja na utulivu wa watu wake.Al…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameueleza uongozi wa taasisi hiyo, kuendelea kuboresha mifumo ya afya kwenye taasisi yao ili kutoa huduma bora kwa wananchi

MSARIFU wa taasisi ya Benjamini Mkapa Foundation (BMF),Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameueleza uongozi wa taasisi hiyo, kuendelea kuboresha mifumo…

Soma Zaidi