Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Zanzibar imedhamiria kuleta Mapinduzi makubwa ya sekta ya Elimu kwa kuboresha miundombinu ya majengo ya kisasa na huduma zenye ubora.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Zanzibar imedhamiria kuleta Mapinduzi makubwa ya sekta ya Elimu kwa kuboresha miundombinu ya…
Soma Zaidi