Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Zanzibar imedhamiria kuleta Mapinduzi makubwa ya sekta ya Elimu kwa kuboresha miundombinu ya majengo ya kisasa na huduma zenye ubora.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Zanzibar imedhamiria kuleta Mapinduzi makubwa ya sekta ya Elimu kwa kuboresha miundombinu ya…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi vijana kushirikiana nao katika kufanyana kazi za ujenzi wa maendeleo ya nchi

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi vijana kushirikiana nao katika kufanyana kazi za ujenzi…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema azma yake ya kuifungua Pemba kiuchumi na kuifanya kuwa kituo mahsusi cha uwekezaji sasa inakaribia na kueleza kuwa hatua za utekelezaji wake zimeanza rasmi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema azma yake ya kuifungua Pemba kiuchumi na kuifanya kuwa kituo mahsusi cha uwekezaji sasa inakaribia na kueleza…

Soma Zaidi

Dk Hussein Ali Mwinyi amesema amani, umoja na mshikamano ndio siri ya mafanikio yaliyopatikana ndani ya kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nane

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema amani, umoja na mshikamano ndio siri ya mafanikio yaliyopatikana ndani ya kipindi cha miaka miwili ya uongozi…

Soma Zaidi