Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Taifa linakabiliwa na changamoto kubwa kwa baadhi ya watumishi wa umma waliopewa dhamana kukosa uadilifu na kusababisha mapato ya Serikali kuingia mifukoni mwao.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Taifa linakabiliwa na changamoto kubwa kwa baadhi ya watumishi wa umma waliopewa dhamana kukosa uadilifu…
Soma Zaidi