Dk.Mwinyi ameiagiza Mamlaka ya Kuzuia Rushwa (ZAECA) kufanya uchunguzi ili kubaini namna Mkandarasi wa Kampuni ya Ujenzi ya Associated Investment Company Limitted alivyopata kazi ya ujenzi wa Skuli.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) kufanya uchunguzi ili kubaini namna Mkandarasi…
Soma Zaidi