Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Benki ya Stanbic Tanzania wa kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Benki ya Stanbic Tanzania wa kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika utekelezaji…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kufanya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni fursa nyengine…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kufanya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni fursa nyengine ya ibada na fadhila za kusoma Qur’an ndani ya mwezi huu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kufanya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni fursa nyengine…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Masjid Kheir, Markaz ya Mombasa Zanzibar kwa kazi nzuri ya kutoa elimu ya dini kwa vijana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Masjid Kheir, Markaz ya Mombasa Zanzibar kwa kazi nzuri ya kutoa elimu ya dini kwa vijana.

Soma Zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ameizindua rasmi nembo ya Sensa ya Watu na Makaazi ya mwaka 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ameizindua rasmi nembo ya Sensa ya Watu na Makaazi ya mwaka 2022 huku akiitangaza tarehe 23 Agosti 2022 kuwa ndio siku ya kufanya…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Soma Zaidi