Habari

Kumkumbuka Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.

UTARATIBU wa kuandaa Kongamano la kumkumbuka Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ni fursa ya kujifunza historia, hekima na uzalendo…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara wenye tamaa kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kuwa ni kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara wenye tamaa kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kuwa ni kisingizio cha kupandisha bei…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi wa Opec Fund Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) wa kuendela kuiunga mkono…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wanasiasa na wanachi kuangalia maneno wanayotoa midomoni mwao na athari zake kwa usalama wa nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wanasiasa na wanachi kuangalia maneno wanayotoa midomoni mwao na athari zake kwa usalama wa nchi na mustakabali…

Soma Zaidi