Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center),…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa watendaji Serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na Serikali iweze kutekelezeka.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa watendaji Serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na Serikali…

Soma Zaidi