Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa mstari wa mbele katika utoaji wa huduma pamoja na misaada ili matatizo yanayowakabili Wawekezaji yanapungua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa mstari wa mbele katika utoaji wa huduma pamoja na misaada ili kuhakikisha matatizo…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Taasisi ya “The Brent Hust Foundation” kwa kufanya utafiti unaohusu upangaji na utekelezaji wa mipango na Sera za kiuchumi Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Taasisi ya “The Brenthust Foundation” kwa kufanya kazi nzuri ya utafiti unaohusu upangaji na utekelezaji…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesisitiza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuiimarisha Sera ya Diplomasia ya Uchumi ili Zanzibar iwe na fursa zaidi katika kuimarisha Uchumi wake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuiimarisha Sera ya Diplomasia ya Uchumi…

Soma Zaidi