Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa katika kuimarisha mashirikiano kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni pamoja na kukuza sekta ya mawasiliano.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa katika kuimarisha mashirikiano kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Soma Zaidi