Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) kwa ziara ya siku tatu.Katika Uwanja wa Ndege…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi ishirini na tisa (29).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi ishirini na tisa (29) ambao walikuwa wakiendelea kutumikia Vyuo vya Mafunzo vya Unguja…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) na kusisitiza…

Soma Zaidi