RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Alim Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Maryam Mtende Wilaya ya Kusini Unguja kushoto Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Nd Said Salim Bakhressa.

RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AMEFUNGUA MSIKITI KIJIJI CHA MTENDE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waumini wa Dini ya kiislamu nchini kujiepusha na migogoro katika kusimamia uendeshaji wa huduma za misikiti…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Michoro wa Majengo  inayotarajiwa kujengwa katika eneo la Bungi Kwa Bihole sehemu ya historia,Wilaya ya Kati Unguja.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KAMISHENI YA UTALII.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza haja ya Kamisheni ya Utalii kutoa elimu ya historia ya Utalii hapa Zanzibar ili kuujua unakotoka na unakokwenda…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria kuifungua Skuli ya Msingi na Maandalizi ya Fuoni Pangawe Wilaya ya Magharibi B Unguja.

DK. SHEIN AMEFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI NA MSINGI FUONI PANGAWE WILAYA YA MAGHARIBI “B” UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka walimu kote nchini kuwa wabunifu na kujiendeleza kitaaluma ili waweze kukidhi mahitaji ya kielimu na kwenda…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.

DK. SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Program ya Kujitolea ya

Dk.Shein Amezungumza na Mratibu Mkuu wa Programu ya Kujitolea ya Umoja wa Mataifa (UNV).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Umoja wa Mataifa (UN) kupitia programu yake ya kujitolea ya Umoja huo (UNV) kwa kuendea kuiunga…

Soma Zaidi

UFUNGAJI WA SEMINA YA KITAIFA KUHUSU MASUALA YA ARDHI NA RASILIMALI ZISIZOREJESHEKA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi Dk. Ali MohAmedShein,amewataka wadau wanaotunza na kusimamia rasilimali za ardhi kufanyakazi kwa uzalendo kwa kuzingatia misingi ya uaminifu,…

Soma Zaidi

Dk.Shein: Watu hawaziheshimu na hawazifuati sheria za ardhi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa licha ya kuwepo Sheria tisa zinazohusiana na matumizi bora na endelevu ya ardhi hapa Zanzibar lakini…

Soma Zaidi