Habari

Kenya na Zanzibar zinauhusiano wa kihistoria ushirikiano wao utakuza uchumi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Zanzibar zinauhusiano wa kihistoria hivyo ushirikiano katika sekta ya biashara kati ya pande…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusin Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya Tunguu Wilaya

DK.SHEIN AMEFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafuata utawala bora na haiko tayari kupambana na wananchi wake na…

Soma Zaidi

Kuanzishwa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo ni mikakati ya Zanziba kurejea katika uasili wake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo ni miongoni mwa mikakati ya kuirejesha Zanzibar katika uasili…

Soma Zaidi

Dk.Shein amemtumia salamu za pongezi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya India.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya India Narendra Damodardas Modi, kwa kuadhimisha miaka 72 tokea…

Soma Zaidi

Suza kuanzisha uhusiano na ushirikiano na Chuo cha Utalii cha Bali nchini Indonesia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa fursa maalum kwa uongozi wa Chuo cha Utalii cha Bali kuanzisha uhusiano na ushirikiano kati ya Chuo hicho na…

Soma Zaidi

Vikundi vya Wanawake vya Indonesia na vile vya Zanzibar kuanzisha ushirikiano

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesisitiza haja ya kuwepo kwa mashirikianao kati ya vikundi vya wanawake vya Indonesia na vile vya Zanzibar kwa lengo la kuongeza kasi katika juhudi…

Soma Zaidi

Dk.Shein,ameondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameondoka nchini leo kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid…

Soma Zaidi