Habari

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuendeleza kuajiri Walimu ili kuondosha changamoto ya walimu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuendeleza fursa za kuajiri walimu wengi zaidi wa fani zote ili kuondosha…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa nchi wanachama za Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa bara la Afrika, SADC, kuona haja za kuziimarisha taasisi zao zinazosimamia utawala bora

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa nchi wanachama za Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa bara la Afrika, SADC, kuona haja za kuziimarisha…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye nyanja zote za maendeleo, kisiasa, Uchumi, utamaduni na huduma za jamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye nyanja zote za maendeleo, kisiasa,…

Soma Zaidi

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukrani zake za dhati kwa wananchi na viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa kuendelea kumuombea du’a na khitma baba yake Mzazi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukrani zake za dhati kwa wananchi na viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa kuendelea kumuombea…

Soma Zaidi