Dk.Shein afutarisha Mkoa wa Kaskazini Unguja
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wameeleza kuwa amani, utulivu na mshikamano ndio misingi pekee ya kuleta maendeleo endelevu hapa Zanzibar.Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Meja Mstafu Juma…
Soma Zaidi