Habari

Dk. Shein asisitiza ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi katika elimu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakaribisha ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi katika sekta ya…

Soma Zaidi

Dk. Shein akutana na Balozi Mdogo wa India nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema uhusiano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wa Zanzibar na India umekuwa ukiimarika siku hadi siku…

Soma Zaidi

Salamu za pongezi kwa Rais wa India.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa India Mheshimiwa Shri Pranab Mukherjee kwa kuadhimisha miaka 65 ya Uhuru wa nchi…

Soma Zaidi

Dk.Shein azindua maadhimisho wa miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema tangu Mapinduzi ya tarehe 12 Januari, 1964 Zanzibar imekuwa ikiongozwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Soma Zaidi

Dk. Shein amekutana na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Saada Mkuya Salum.Waziri Saada…

Soma Zaidi

Dk.Shein ateta na IGP Mangu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu.Mkuu huyo…

Soma Zaidi

Tuko tayari kushirikiana na Italia katika nyanja za elimu na hifadhi ya sehemu za historia.

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Italia katika nyanja za elimu na hifadhi ya sehemu za historia kama ilivyo katika sekta nyingine.Hayo yameelezwa…

Soma Zaidi

Dk.Shein apokea Kifimbo cha Malkia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wazanzibari na watanzania kwa jumla kutumia fursa ujio wa Kifimbo cha Malkia kutafakari namna bora…

Soma Zaidi