Dk Shein awataka Wazanzibar kusubiri Tume ya uundwaji wa Katiba mpya ianzekazi ndipo watoe maoni yao
WAZANZIBARI wametakiwa kusubiri Tume ya Kuratibu na Kukusanya Maoni ya Wananchi kuhusu Mapendekezo ya Uundwaji wa Katiba Mpya ianze kazi ndipo watoe maoni yao kwani hata wakitoa hivi sasa hakuna…
Soma Zaidi