Rais Dk.Mwinyi awaapisha Mawaziri na Manaibu aliowateua hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewataka viongozi mbali mbali kuongeza kasi mara mbili kuwatumikia wananchi pamoja na kukamilisha ahadi na kuvuka…

Soma Zaidi

Rais Dk.Mwinyi asaini Sheria mpya zinazogusa wananchi na haki zao

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kusainiwa kwa sheria mpya itaondoa changamoto ambazo zilikuwa vikwazo katika kufikia malengo ya kimaendeleo.

Soma Zaidi