Habari

Hotuba ya Bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2012/2013 ORMBLM Zanzibar

Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi

Kukuza Utalii,kuimarisha ushirikiano na shuhuli za maendeleo ni muhimu katika kulinda amani nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa katika kukuza sekta ya utalii na shughuli nyengine za maendeleo nchini ni muhimu kuimarisha ushirikiano…

Soma Zaidi

SWEDEN imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta mbali mbali za maendeleo

Pamoja na kuwa balozi wa kuitangaza Zanzibar kiutalii kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika sekta hiyo. Dk. Shein aliyasema hayo wakati alipokuwa na mazungumzo na Balozi wa Sweden…

Soma Zaidi

Taarifa kuhusu hali ya nchi kwa Waandishi wa HabariI,Wahariri na WananchiI,

Ndugu Waandishi wa Habari, Wahariri na Wananchi, Assalam Aleykum Namshukuru Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote, kwa kutupa afya njema tukaweza kuzungumzia mambo yenye mustakbal mwema wa…

Soma Zaidi

Zanzibar imeongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato na kufikia kiwango cha asilimia 20 ya pato la Taifa

OFISI ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo imeeleza vipaumbele ilivyojiwekea kwa mwaka ujao wa fedha ikiwa ni pamoja na kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato na kufikia kiwango cha asilimia…

Soma Zaidi

Dk.Shein ataka juhudi za haraka zichukuliwe kwa Shirika la ZBC (Television) kisiwani Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo kutoa taarifa kwa wananchi wa kisiwa cha Pemba juu ya…

Soma Zaidi

Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Tunguu umekamilika kwa asilimia 90 (90%)

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imeeleza kuwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Tunguu umekamilika kwa asilimia 90 ambapo Mkandarasi ameahidi kukamilisha kazi yote na kukabidhi…

Soma Zaidi

Dk.Shein ametangaza huduma za kujifungua katika hospitali za umma Unguja na Pemba zifanyike bure.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ametangaza kuwa huduma za uzazi kwa akina mama wajawazito wanaokwenda kujifungua katika hospitali za umma Unguja na…

Soma Zaidi