Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapa pole wananchi wote walioathiriwa na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya nchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapa pole wananchi wote walioathiriwa na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi