Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewaahidi Wanzanzibari kuwapunguzia umasikini kabla ya mwaka 2025 kwa kuwaongezea miradi mikubwa ya maendeleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewaahidi Wanzanzibari kuwapunguzia umasikini kabla ya mwaka 2025 kwa kuwaongezea miradi mikubwa ya maendeleo.Amesema,…
Soma Zaidi