MAHFALI YA 19 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Heshima,kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa ,kwa kutambua mchango wake mkubwa akiwa Mkuu wa Chuo wa kwanza kuanzisha Mkusanyiko wa Kitaalam "CONVOCATION"wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Heshima,kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa ,kwa kutambua mchango wake mkubwa akiwa Mkuu wa Chuo wa kwanza kuanzisha Mkusanyiko wa Kitaalam "CONVOCATION"wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume(katikati) akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa na (kushoto) Makamo Mkuu wa Chuo Prof.Makame Haji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Ndg.Amour Salmin (katikati)kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Salmin Amour akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariuam Mwinyi,Makamo Mkuu wa Chuo Prof.Makame Haji,Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Bi.Hamida Ahmed Mohamed na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe Leila Mohamed Mussa wakiwa katika maandamano katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) kabla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariuam Mwinyi leo alipoiwasili katika Ofisi za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
Wahitmu wa Shahada ya Uuguzi na Ukunga ya chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) walipotunukiwa Shahada zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa wahitimu katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
Wahitmu wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Teknolojia ya Habari walipotunukiwa Shahada zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
Wahitmu wa fani mbali mbali wakiwa sherehe ya katika Mahfali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.