Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuhakikisha kituo cha Afya Kidimni kinakuwa na wataalamu wa huduma zote zinazopatikana kituoni hapo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuhakikisha kituo cha Afya Kidimni kinakuwa…
Soma Zaidi