Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa CCM, kuweka usimamizi mzuri wa mapato yanayotokana na mradi wa maduka ya Darajani.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa CCM, kuweka usimamizi mzuri wa mapato yanayotokana…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ni jambo muhimu kwa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kusimamia na kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ni jambo muhimu kwa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kusimamia na kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini, ili vitoe mchango zaidi…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeitaka kampuni ya kimataifa, Puma Energy kuangalia uwezekano wa kupunguza bei ya mafuta ya ndege ili kuendana na soko la ushindani la kimataifa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeitaka kampuni ya kimataifa, Puma Energy kuangalia uwezekano wa kupunguza bei ya mafuta ya ndege ili kuendana na soko la ushindani la kimataifa.Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi