Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itazingatia maslahi ya wananchi katika utekelezaji wa mradi mkubwa wa Uwekezaji uliopangwa kufanyika katika eneo la Kizingo, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itazingatia maslahi mapana ya wananchi katika utekelezaji wa mradi mkubwa wa Uwekezaji uliopangwa…
Soma Zaidi