Ikulu Blog

Dk. Shein amekutana na Bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na aliofuatana nao

Dk.Shein akutana na ujumbe wa Huawei

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Huawei unaoongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong (wa pili kulia) ujumbe huo ulipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao (hawapo pichani).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuonana na Rais
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar wakati wa mazungumzo yao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuonana na Rais.

Dk.Shein awaapisha Viongozi Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Omar Hassaan Omar kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Utamaduni,Sanaa na iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Saleh Yussuf Mnemo kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia masuala ya Habari, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Khadija Bakari Juma kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Idriss Musilim Hija kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Shaaban Seif .Balozi Mohammed kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Ali Khalil Mirza kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi. Maua Makame Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wanawake na Watoto anayeshuhulikia Masuala ya Kazi na Uwezeshaji,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Tahir M.K.Abdulla kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ahmad Kassim Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo,Maliasili Mifugo,na Uvuvi anayeshuhulikia Masuala ya Kilimo na Maliasili katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Mwanajuma Majid Abdalla kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto anayeshuhulikia Masuala ya Wazee,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Mziko ya Mzee Kwacha yaliyofanyika kijijini Paje Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika maziko ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Miongoni mwa Waislamu wakiwa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Paje Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Hitma ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) pamoja na Mashekhe mbali mbakli wakiitikia Dua ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM baada ya kisomo cha Khitma katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ( kulia) alifika kuwapa mkono wa pole Wanafamilia ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Nyumbani kwao baada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) alijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali leo katika kumswalia Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Maelfu ya Wananchi kutoka sehemu mbali mbali za Zanzibar na Tanzania Bara walijumuika katika maziko ya Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) yaliyofanyika katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AHUTUBIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI VIWANJA VYA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiangalia nguo ilioshonda na Kikundi cha Siri Moyoni Unguja Ukuu, wakati akitembelea maonesho ya Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
  • AFISA wa Save The Children Zanzibar, Bingambo Maulid, akitowa maelezo ya kupinga udhalilishaji kwa Wanawake na Watoto wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Dunianbi yaliofanyika katika viwanja vya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wakishangilia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iyaliofanyika katika viwanja vya Makunduchi.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wamejitokeza katika zoezi la uchangiaji wa Damu wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake katika viwanja vya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • WASANII wa Kikundi cha Zanzibar Roots cha Makombora wakionesha mchezo wa unyanyasaji wa Wanawake wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yalioadhimishwa Kitaifa katika viwanja vya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • WANANCHI wa Mikoa wa Kusini Unguja Unguja, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia wakati wa kuadhimisha kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo Marchi 8, maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Makunduchi Wilaya Kusini Unguja
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akimapata maelezo ya utengenezaji wa majiko na mikungu kwa kutumia malighafi ya udongo,akitowa maelezo Kiongozi wa Kikundi cha Tusitegeani Muyuni C Unguja,Bi. Fete Khamis wakati akitembelea maonesho ya Bidhaa za Wanawake katika viwanja vya makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea maonesho ya Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani akimuangali Bi. Mwashamba Juma wa Kikundi cha Ushoni cha Siri Moyoni Unguja Ukuu,akiwa katika ushono wa nguo wakati wa maonesho hayo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar ukiongozwa na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng (wa pili kulia)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng,wakati alipofika Ikulu Zanzibar pamoja na Ujumbe aliofuatanan nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao