Ikulu Blog

Dua ya kumuombea Rais na Nchi.

  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakiitikia Dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.
  • Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiomba dua wakati Kisomo maaalum cha Kuiombea dua Nchi pamoja na Kumuoimbea Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati), katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar ambapo Viongozi mbali mbali walishiuriki katika Dua hiyo iliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiitikia dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kulia) dua iliyofanyika leo katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria ,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakiitikia Dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar
  • Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea dua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) iliyofanyika leo katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar (wa pili kulia) Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi
  • Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume (kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu wakiitikia dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.
  • Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiomba dua wakati Kisomo maaalum cha Kuiombea dua Nchi pamoja na Kumuoimbea Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati), katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar ambapo Viongozi mbali mbali walishiuriki katika Dua hiyo iliyofanyika
  • Baadhi ya Kinamama waliohudhuria katika Dua maalum ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na kuiombea nchi yetu kuwa na Amani na utulivu iliyofanyika leo katika msikiti wa Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Kinamama waliohudhuria katika Dua maalum ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na kuiombea nchi yetu kuwa na Amani na utulivu iliyofanyika leo katika msikiti wa Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar

Mhe:Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Uongozi wa NMB

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kadi yake ya ATM baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 10/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na Ujumbe wake (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza akiwa na ujumbe wa Maafisa Wakuu wa Vitengo vya Benki ya NMB, hafla hiyo imefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Ujumbe wake wa Maafisa wa Vitengo mbalimbali vya Benki ya NMB, baada ya kumalizika mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi yake ya ATM na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza akiwa na ujumbe wa Maafisa Wakuu wa Vitengo vya Benki ya NMB, hafla hiyo imefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika ikulu na Ujumbe wake (kulia) Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Wafanyabiashara Ndg. Fillbert Mponzi na Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa NMB Ndg. Alfred Shao, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katembelea Mradi wa Huduma za jamii mijini Zusp Zanzibar

  • MKAAZI wa Kwarara Ndg. Salum Said Salum akitowa kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Husseinn Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa ziara yake kutembelea eneo hilo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa (ZUSP) Ndg. Makame Ali Makame akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mradi huo wa ujenzi wa Jaa la Kisasa linalojengwa katika eneo la Kibeli Wilaya ya Kati Unguja akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakimsikiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wac Ujenzi wa Jaa la Kisasa linalojengwa katika eneo la Kibeni Ndg. David Masawe akitowa maelezo kuhusiana na ujenzi wa Mradi huo wa (ZUSP) wa Jaa wakati wa ziara yake katika eneo hilo huko Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Jaa la Kisasa linalojengwa Kibeli chini ya Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) akimsikiliza Meneja Mradi wa Jaa Kibeli Ndg. Makame Ali (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidu Rashid na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya (ZUSP ) Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) kuangalia utendaji wa Mradi huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Jaa la Kisasa linalojengwa Kibeli chini ya Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) akimsikiliza Meneja Mradi wa Jaa Kibeli Ndg. Makame Ali (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidu Rashid na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya (ZUSP ) Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) kuangalia utendaji wa Mradi huo wa ujenzi wa mitaro ya kupitishia maji machafu na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawailiano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Mustafa Aboud Jumbe wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini katika eneo la Kiembesamaki kuangalia ujenzi wa mitaro wa maji katika barabara hiyo na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjinui Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustaf

Hafla ya kumuaapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumua;pisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo imefanyika leo 8/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla , baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumua;pisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo imefanyika leo 8/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya Kiapo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Saharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Zito Kabwe, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Dk.Hussein Mwinyi mgeni rasmin taarabu ya kumpongeza.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Taarab ya kumpongeza iliofanyika jana usiki 5/12/2020 na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid
  • BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) wakijumuika katika taarab huiyo wakati Kikundi cha Culture kikitowa burudani kwa wimbo wake “Mpewa hapokonyeki” ikiimbwa na Msanii Bi.Mgeni Khamis, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwaryam Mwinyi na (kushoto kwake) Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna wakijumuika katika Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) wakijumuika na Wananchi katika hafla hiyo wakati Msanii wa Kikundi cha Zanzibar Big Star Tahir Khamis akiimba wimbo wa “ Warewarew CCM” katika hafla hiyo iliofanyika jana usku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakiul Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna (kushoto kwake ) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe Asha Abdalla Juma (kulia kwake) wakienda kutunza katika hafla ya Taarab rasmin ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na kutowa salamu za pongezi kwa Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo ya Taarab rasmin iliofanyika jana usiku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum iliofanyika jana usiku 5/12/2020.
  • BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Chama na Wananchi wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akitowa Salamu za NMB na kumpongeza Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Taarab Maalum iliandaliwa na Benki ya NMB katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza Rais iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum ilifanyika jana usiku 5/12/2020