Dk.Shein amezindua Kampeni za CCM Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa kampeni za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Zanzibar
MKGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimsalimia Mama Fatma Karume alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar,wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Zanzibar
MSANII wa Bongo Flava Ali Kiba akitowa burudani wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
MSANII wa muziki wa Taarab Aisha Mashauzi akitowa burudani wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi.(CCM) ukiofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MSANII wa muziki wa Taarab Aisha Mashauzi akitowa burudani wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi.(CCM) ukiofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dkt. Amani Karume, Mama Fatma Karume, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Sheinna Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika jukwaa la Viongozi wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia kabla ya kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi, katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbio la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza, wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar,uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbio la Jangombe Zanzibar Mhe.Ali Hassan Omar ( King) wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar,uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi, katika ufunguzi wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM, baada ya kukabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika hafla ya ufunguzi wa Kampen I ya CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwapungia mkono Wanachama wa CCM alipowasili katika viwanja vya Kibanda Maiti (Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti ) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Kibanda Maiti Jijini Zanzibar , kabla ya kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.
Dk shein amehudhuria taaram maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi MheDk. Hussein Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Wanachama wa CCM wakati wa Taarab Maalum ya kumpongeza kwa kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuniu Jijini Zanzibar jana usiku 10-9-2020.
BAADHI ya Wanachama wa CCM na Viongozi wakifuatilia hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 10-9-2020.
MSANII wa Kikundi cha Culture Musical Taarab Bi.Amina Abdalla Iddi akiimba wimbo wa “Haya Maumbile Yangu” wakati wa hafla ya Taaram Maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana 10-9-2020 usiku.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na Wanachama wa CCM katika hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 10-9-2020.na (kulia kwa Mama) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke waMgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi,akifuatilia taarab maalum ilioandaliwa na CCM Zanzibar ya kumpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi kwa kuteuliwa na Chama chake kugombea Urais wa Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana 10-9-2020 usiku.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi wakifurahia jambo wakati wa Taarab maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar CCM kwa kuteuliwa na Chama Chake kugombea nafasi ya Urais, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana 10-9-2020 usiku.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimtunza Msanii wa Kikundi cha Taarab cha Culture Musical Bi. Fatma Dawa Shehe wakati akiimba wimbo wa “Pongezi kwa Mgombea” katika hafla ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar ,na (kulia ) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo imefanyika jana 10-9-2020 usiku
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe. Dk. Hussein Mwimyi, Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Mgombea Urais Mama Maryam Mwinyi, wakisoma ratiba ya hafla ya taarab maalum ilioandaliwa na Chama Cha Mapinduzi ,katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 10/9/2020.
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
MWENYEKITI WA Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya kuwasili katika katika ukumbi wa mkutano wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika Mkoani Dodoma leo 19/8/2020, na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ,akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM. kilichofanyika 19/8/2020,Mkoani Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ,akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM. kilichofanyika 19/8/2020, Mkoani Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapoinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Mjumbe wa wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe.Balozi Seif Ali Idd, wakiwa wamsimama wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa Mkutano (hayupo pichani) kuongoza Kikao hicho kilichofanyika Mkoani Dodoma 19/8/2020
MWENYEKITI WA Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya kuwasili katika katika ukumbi wa mkutano wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika Mkoani Dodoma leo 19/8/2020, na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Dkt.John Magufuli ameongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Jijini Dodoma.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taiufa kinachofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, wakishangilia wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika leo 20/8/2020.
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 20/8/2020.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akifungua Kikao cha Halmashauriu Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 20-8-2020.
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akitete jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akizungumza kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, kufungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kuongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-8-2020, wa kwanza kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mhe. Mizengo Pinda.
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kuongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-8-2020, wa kwanza kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mhe. Mizengo Pinda.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ,akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM. kilichofanyika 19/8/2020,Mkoani Dodoma
Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee ,(kulia kwa Rais) wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, 17/8/2020 na (kulia kwa Katibu) Wazii wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akiwasilisha muktasari wa Ripoti ya Utekelezaji Mpango9 Kazi wa Ofisi yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na ( kulia) Mshau ri wa Rais Masuala ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Mhe. Burhan Saadat Juma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Maulid, akiwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwake) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Kassim Ali.
MSHAURI wa Rais Masuala ya Sanaa na Utamaduni Mhe. Chimbeni Kheri, akisoma dua, wakati wa kikao cha kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021. kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Mshauri wa Rais Masuala ya Historian a Mambo ya Kale Mhe.Ali Mzee Ali, akichangia wakati wa Kikao cha Utekelezai Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Mkurugenzi Idara ya Mawasiliano Ikulu Ndg.Hassan Khatib,akitowa maelezo wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa Kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,17/8/2020.
Washauri wa Rais wakifufuatilia Kikao cha kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid, akisoma ripoti hiyo. (hayupo pichani)
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbalimbali katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakifuatilia Kikao cha kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi, kilichofanyika katika ukumbi wa IKulu Jijini Zanzibar, wakati ikiwasilishwa,kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.