Ikulu Blog

Dk.Shein amemaliza ziara yake Wilaya yan Kusini Unguja.

  • Baadhi ya Viongozi wa CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kimzimkazi Wilaya ya Kusini Unguja
  • Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Idrisa Kitwana akikabidhi Ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za Wilaya ya Kusini kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa Majumuisho ya ziara yake uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Unguja
  • Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Hafidh Hamad Mkadam,akiwakilisha Ripoti ya Utekeleza ya Kazi za CCM za Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya hiyo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Ripoti ya Utekelezaji ya CCM Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katikia Wilaya hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa na Serikali wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa 'Sisi Sote Tumegombaka' wakati wa hafla ya Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Kusuini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja Mkoa wa Kusini.
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Residence Kizimkazi wakiimba wimbo wa 'Sisi Sote Tumegomboka' wakati wa mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wilaya ya Kusini Unguja
  • Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Wilaya ya Kusini Unguja uliofanyika katiuka ukumbi wa hoteli ya Residence Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
  • Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar(ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji akitowa maelezo ya uimarishaji wa huduma ya Maji Safi na Salama katika Miradi ya Usambazaji wa Maji katika Wilaya ya Kusini Unguja unavyotekelezwa na ZAWA kwa Wananchi wa Wilaya hiyo, wakati wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja wakati kuhitimisha ziara hiyo katika Wilaya ya Kati Unguja.
  • Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Idirisa Kitwana,akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji ya Kazi za Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wake huo baada ya kumaliza ziara yake katika Wilaya hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi

Dk.Shein ameendelea na ziara yake Wilaya ya Kati Unguja.

  • BAADHI ya Wananchi na Viongozi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,hayuko picha, akiwahutubia wakatin wa ziara yake katika Wilaya ya Kati Unguja, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Unguja
  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi,akizungumza wakati wa mkutanio huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
  • VIONGOZI wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Coconut Tree Marumbi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisoma Taarifa ya Utekrelezaji ya Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi Mashavu Said Sukwa, baada ya kuiwakilisha, wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi.
  • VIONGOZI wa CCM wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kati kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kati Unguja, katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi.
  • MKUU wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Mashavu Said Sukwa, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji ya Wilaya wakati wa Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
  • WANANCHI wa Kisiwa cha Uzi, wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia katika viwanja vya mpira Uzi, akiwa katika ziara yakje Wilaya ya Kati Jimbo la Tunguu Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Maandalizi na Msingi Ng'ambwa.
  • KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja Bi, Salma Omar Said, akiwasilisha Taarifa ya Chama ya Utekelezaji wa Kazi zake wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja.

Uzinduzi wa skuli ya Kijini Matemwe Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wizara ya Elimu alipowasi katika viwanja vya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A'Unguja akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiri kuweka jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kazkiazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake kutewmbelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Program Meneja wa Africa Foundation ya Hoteli ya Mnemba Ndg. Mkomeni Erinest Mgono, Taasisi hiyo imejenga majengo ya mabanda manne kwa ajili ya Skuli ya Sekondari ya Kijini,alipowasili katika viwanja vya majengo ya Skuli hiyo kuweka jiwe la Msingi akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kufungua Madaraza ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ka Skazini 'A' akishuhudua Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Malemwe wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Majengo ya Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Malemwe wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Majengo ya Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuonesha Ilani ya CCM, wakati ufunguzi wa Madarasa ya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja

Dk.Shein amezungumza na Profesa Biang Yuhong Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Wataalam wa Utafiti wa Dawa za Asili ukiongozwa na Profesa Yuhong Biang kutoka Nchini China,Mtafiti kutoka Kenya, Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ya Afya Zanzibar. Dr. Mayassa. S.Ally.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mtaalam wa Dawa za Asili kutoka Nchini China Profesa Yuhong Biang, alipofika Ikulu Zanzibar kushoto Mtafiti wa Dawa za Asili kutoka Kenya Ndg. Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Afya Zanzibar Dr. Mayassa .S.Ally, wakifuatilia mazungumzo hayo.
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Wataalam wa Utafiti wa Dawa za Asili ukiongozwa na Profesa Yuhong Biang kutoka Nchini China,Mtafiti kutoka Kenya, Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ya Afya Zanzibar. Dr. Mayassa.S.Ally.

Dk.Shein aendelea na ziara yake Wilaya ya Magharibi “A” Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika eneo lililohamishiwa Wananchi Wajasiriamali wa Biashara ya kuanika Madangaa Kihinani Wilaya ya Magharibi A Unguja wakati wa ziara yake na kuweka jiwe la msingi jengo lao la Ushirika la Tusiyumbishane Kihinani Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katikati . na kushoto kwa Rais Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawakla za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, wakiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi Jengo la Kukaushia Dangaa la Ushirika wa TMadangaa vla Ushirika wa Tusiyumbishane Kihinani Wilaya ya Magharibi A Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, akitowa maelezo ya Mashine ya Kisasa ya kukaushia Dangaa wakati wa ziara yake baada ya kuweka jiwe la msingi la jengo la Ushirika wa Waanika Madangaa cwa Tusiyumbishane Kihinani Wilaya ya Magharibi A Unguja
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Afya Kianga Wilaya ya Magharibi A Unguja, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuzungumza na Wananchi akiwa katika ziara yake. Wilaya ya Magharibi A Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kianga wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia baada ya kuweka jiwe la Msingi Kituo cha Afya Kianga, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya ya Magharibi A Unguja
  • WAJASIRIAMALI wa Biashara ya kuanika Madagaa katika eneo la kihinani Wilaya ya Magharibi A Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, haytko picha wakati akiwahutubia alipifika katika eneo hilo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Magharibi A Unguja.
  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Magharibi Kichama Ndg.Mohammed Rajab Soud. akitowa salamu za Chama na kutowa shukrani wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM, Mtoni wakati wa ziara yake
  • WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mfenesine Kichama,wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa ziara yake iliofanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mfenesini Kichama wakati ziara yake katika Wilaya hiyo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Shehia ya Kianga wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Afya Kianga kilichojengwa kupitia Mradi wa TASAF na nguvu za Wananchi kitakachotowa huduma kwa Wananchi wa Shehia hiyo na vijiji vya jirani
  • MRADI wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Kwarara moja ya majengo matatu ya ghorofa mbili yakiendele na ujenzi wake kama linavyoonekana picha limeweka jiwe la Msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi B Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi Majengo Matatu ya Skuli ya Msingi ya Kwarara Zanzibar , akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya ya Magharibi kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi ya Kwarara ikiwa na majengo matatu ya ghorofa mbili, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi B Unguja
  • RAIA wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Kisasa ya Kwarara, akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya ya Magharibi B Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein, akimsikiliza Msanifu wa Jengo kutoka Kampuni ya SRAT Consuat ya Tanzania Ndg. Salim Rajab Twakyondo akitowa maelezo ya michoro ya Majengo ya Mradi wa Ujenzi wa Skuli hiyo ya Msingi ya Kwarara, baada ya kuweka jiwe la msingi.
  • WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Kisasa ya Msingi ya Kwarara Wilaya ya Magharibi B Unguja, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
  • WANAFUNZI wa Skuli za Sekondari na Msingi wa Kwarara Wilaya ya Magharibi B Unguja, wakiwa katika viwanja vya Mradi wa Skuli za Msingi Kwarara, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hayuko pichani.
  • WANANCHI wa Shehia ya Kwarara wakifuatilia hutuba tya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia hafla hiyo ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi ya Kwarara
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Mama Mwanamwema Shein, akisoma jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Magirisi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi huo,akiwa katika ziarra yake Wilaya ya Magharibi B Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Majengo ya Skuli ya Msingi Kwarara Wilaya ya Magharibi B Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya Magharibi " B" Unguja
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi na kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pemba Juma, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Shein, akihutubia hafla hiyo hayuko pichani
  • BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar Mwenyetiki wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo katika viwanja vya Mradi wa Skuli ya Msiungi Kwarara.