Habari

Dk.Shein ametuma pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Uganda,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kwa kutimiza miaka…

Soma Zaidi

Kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Bububu-Kinyasini hadi Mkokotoni hivi karibuni

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi sasa imo katika hatua za kuendelea kukamilisha taratibu zilizobaki ili kuanza ujenzi wa barabara ya Bububu-Kinyasini hadi Mkokotoni, ujenzi ambao unatarajiwa…

Soma Zaidi

Ufunguzi wa Msikiti Saeed Al Bawardy uliopo Bandamaji, Jimbo la Chaani,

WAUMINI wa dini ya Kiislamu hapa nchini wametakiwa kujiepusha na mizozo isiyo na tija katika misikiti pamoja na katika jamii wanamoishi.

Soma Zaidi

UTEUZI

Soma Zaidi

Dk.Shein amepongezwa kwa juhudi zake za kuwawekea mazingira bora wafanyakazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amepongezwa kwa juhudi zake za kuwawekea mazingira bora wafanyakazi wa sekta ya umma yakiwemo maslahi yao,…

Soma Zaidi

Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM Taifa uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu wa Mwenyekiti…

Soma Zaidi

Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping amepongezwa na Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping kwa kutimiza miaka 68 tokea kuasisiwa…

Soma Zaidi

UTEUZI

Soma Zaidi