Dk. Hussein Mwinyi,amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Nigeria, Mhe. Balozi Hamisu Umar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Mwinyi, leo tarehe 5 Oktoba, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Nigeria, Mhe. Balozi…
Soma Zaidi