Media

Rais Dkt. Mwinyi amesema uwekezaji na Utalii unaendelea kukua zaidi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar inaendelea kupiga hatua katika sekta za uwekezaji na utalii, hali inayozidi kuimarisha nafasi…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema Nchi za NAM ziunganishe Sauti kutetea Maslahi ya pamoja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka nchi wanachama wa Harakati za Nchi zisizofungamana na upande wowote (NAM) kuunganisha sauti na misimamo…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amewakaribisha Wawekezaji wa Serbia kuwekeza Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa…

Read More

Dkt.Mwinyi amesema SMZ itaendelea kushirikiana na Benki ya Dunia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Benki ya Dunia katika kuimarisha sekta za elimu, afya, nishati…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema ana imani na uwezo wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amempongeza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndg. Abdi…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema uwanja wa Afcon Fumba kuwa chachu ya Fursa za kiuchumi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Uwanja wa AFCON unaojengwa Fumba utakuwa uwanja wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa na chachu ya kufungua…

Read More