Dk.Hussein Ali Mwinyi amesisitiza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuiimarisha Sera ya Diplomasia ya Uchumi ili Zanzibar iwe na fursa zaidi katika kuimarisha Uchumi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuiimarisha Sera ya Diplomasia ya Uchumi…
Soma Zaidi