Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF),  ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza utalii pamoja na urithi wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF), ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishauri Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kuandaa Kalenda maalum ya kufanyika kwa Mashindano ya Kimataifa ya Marathon.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishauri Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kuandaa Kalenda maalum ya kufanyika kwa Mashindano ya Kimataifa ya Marathon…

Soma Zaidi

Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka waislamu nchini kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu adumishe amani iliopo iliTaifa liweze kupata maendeleo yanayohitajika.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka waislamu nchini kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu adumishe amani iliopo iliTaifa liweze kupata maendeleo…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa nchi za Afrika kushirikiana katika kuimarisha sekta ya biashara

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa nchi za Afrika kushirikiana katika kuimarisha sekta ya biashara.Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo…

Soma Zaidi