Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka waislamu nchini kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu adumishe amani iliopo iliTaifa liweze kupata maendeleo yanayohitajika.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka waislamu nchini kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu adumishe amani iliopo iliTaifa liweze kupata maendeleo…
Soma Zaidi