Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha viongozi mbali mbali aliowateuwa Julai 10, 2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha viongozi mbali mbali aliowateuwa Julai 10, 2021 kushika nyadhifa tofauti katika Wizara za Serikali ya…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewasimamisha kazi Wakurugenzi wote wa Halmashauri za Wilaya za Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewasimamisha kazi Wakurugenzi wote wa Halmashauri za Wilaya za Unguja na baadhi ya Wakurugenzi wa Taasisi na Idara…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ufunguzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Baharini, kutafanikisha azma ya Zanzibar kuwa kituo cha kuzalisha mazao ya baharini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ufunguzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti ya Uvuvi na Rasilimali za Baharini, kutafanikisha azma ya kuifanya…

Soma Zaidi