Dk. Hussein Ali Mwinyi,amewataka Wakandarasi wa Mradi wa Maji wa Exim Bank kukamilika kwa wakati kama ulivyopangwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi,amewataka Wakandarasi wa Mradi wa Maji wa Exim Bank kuelewa kuwa mradi huo unapaswa kukamilika kwa wakati kama ulivyopangwa.
Soma Zaidi