Dk. Hussein Ali Mwinyi Jumamosi (Julai 03,2021) anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya wiki moja katika mikoa mitatu ya Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho Jumamosi (Julai 03,2021) anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya wiki moja katika mikoa mitatu ya Unguja.
Soma Zaidi