Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema wakati umefika wa Wazanzibari kuungana pamoja katika vita dhidi ya usafirishaji na matumizi ya Dawa za kulevya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wakati umefika wa Wazanzibari kuungana pamoja katika vita dhidi ya usafirishaji na matumizi ya Dawa za kulevya…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Assa Ahmad Rashid pamoja na Abdalla Mzee Abdalla…

Soma Zaidi

Jamii nchini imetakiwa kuitunza na kuielendeleza amani iliyopo na kuwaombea dua viongozi wa Taifa

JAMII nchini imetakiwa kuitunza na kuielendeleza amani iliyopo na kuwaombea dua viongozi wa Taifa hili ili waweze kuongoza na kuiletea nchi maendeleo endelevu yenye kheri na tija.Akitoa neno…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kufanyika kwa Tamasha la Mashindano ya Kimataifa ya Marathon hapa nchini, kutaonyesha utayari wa Serikali katika kuvutia Wawekezaji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kufanyika kwa Tamasha la Mashindano ya Kimataifa ya Marathon (Zanzibar International Marathon – ZIM ) hapa…

Soma Zaidi