Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Assa Ahmad Rashid pamoja na Abdalla Mzee Abdalla…

Soma Zaidi

Jamii nchini imetakiwa kuitunza na kuielendeleza amani iliyopo na kuwaombea dua viongozi wa Taifa

JAMII nchini imetakiwa kuitunza na kuielendeleza amani iliyopo na kuwaombea dua viongozi wa Taifa hili ili waweze kuongoza na kuiletea nchi maendeleo endelevu yenye kheri na tija.Akitoa neno…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kufanyika kwa Tamasha la Mashindano ya Kimataifa ya Marathon hapa nchini, kutaonyesha utayari wa Serikali katika kuvutia Wawekezaji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kufanyika kwa Tamasha la Mashindano ya Kimataifa ya Marathon (Zanzibar International Marathon – ZIM ) hapa…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)akifuatanana Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)akifuatanana Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (wa pili kulia)…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema anatambua mchango wa Watumishi wa Umma katika utekelezaji wa majukumu ya Serikali ya kuwahudumia wananchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema anatambua mchango wa Watumishi wa Umma katika utekelezaji wa majukumu ya Serikali ya kuwahudumia wananchi…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake kwa Viongozi wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Hutuba yake kwa Viongozi wakati kilele cha Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar hafla iliyofanyika…

Soma Zaidi