Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani kwa viongozi wa dini kwa kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Nane

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani kwa viongozi wa dini kwa kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Nane katika kuhamasisha amani na utulivu…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa uongozi wa Klabu ya Small Simba wa kutaka kurejesha hadhi ya michezo hapa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa uongozi wa Klabu ya Small Simba wa kutaka kurejesha hadhi ya michezo hapa Zanzibar.Rais Dk.…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kuimarisha amani kwa azma ya kuleta maendeleo nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kuimarisha amani kwa azma ya kuleta maendeleo nchini.Alhaj Dk. Mwinyi ameyasema…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali iko tayari kupokea msaada wa chanjo COVID -19 pamoja na misaada mbali mbali ya kitabibu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali iko tayari kupokea msaada wa chanjo COVID -19 pamoja na misaada mbali mbali ya kitabibu kutoka Shirika…

Soma Zaidi