Nchi za Denmark,Finland,Norway na Sweden ya kuendelea kuiunga mkono Zanzibar kiuchumi na kimaendeleo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa azma ya nchi za Denmark, Finland, Norway na Sweden ya kuendelea kuiunga mkono Zanzibar kiuchumi na kimaendeleo…

Soma Zaidi

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Zanzibar imetakiwa kushirikiana vyema na Chama cha SKAUTI Tanzania.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Zanzibar kushirikiana vyema na Chama cha SKAUTI Tanzania…

Soma Zaidi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itawawezesha Mahujaji wake wote kupata chanjo ya maradhi ya COVID 19.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itawawezesha Mahujaji wake wote kupata chanjo ya maradhi ya…

Soma Zaidi