Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar iko tayari kutekeleza mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mafuta katika eneo la Mangapwani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar iko tayari kutekeleza mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mafuta katika eneo la Mangapwani.Dk. Mwinyi…
Soma Zaidi