Dk. Hussein Mwinyi amejumuika na waislamu katika Iftari aliyoiandaa kwa ajili yao iliyofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Conversion centre, Jijini Dodoma,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo amejumuika na mamia ya waislamu katika Iftari aliyoiandaa kwa ajili yao na kufanyika katika Ukumbi wa Jakaya…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa Mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ufaransa na Switzerland

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa Mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ufaransa na Switzerland wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar…

Soma Zaidi

Alhaj Dk.Mwinyi amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaungana na Mataifa duniani katika kukuza na kuimarisha mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qurani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa inapendeza kuona Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa inaungana na Mataifa mengine duniani katika…

Soma Zaidi