Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Samia Suluhu Hassan ameshuhudia kuapishwa kwa Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshuhudia kuapishwa kwa Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hafla iliyofanyika leo Ikulu…
Soma Zaidi