Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetiliana saini Hati ya Maelewano (MOU) na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetiliana saini Hati ya Maelewano (MOU),kati yake na Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman inayohusu Mpango Mkuu wa Ujenzi wa Bandari huko Mangapwani/Bumbwini.Kwa mujibu…
Soma Zaidi