Dk. Mwinyi amesema serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua ambapo tayari…
Soma Zaidi