UZINDUZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KIVUNGE.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka madaktari na wauguzi pamoja na watoa huduma za afya hapa nchini kuipenda kazi yao, kuwa na huruma, kuwa wastahamilivu…
Soma Zaidi